Tuesday, April 6, 2010

DAYSTAR UNIVERSITY
S.L.P 17
90143
ATHI RIVER.


March 31, 2010

MRS.ROSEMARY KOWUOR
S.L.P 17
90143
ATHI RIVER

Kwa Bi.Kowuor,

KUH: PENDEKEZO LA KIPINDI CHA SWAHILI KWENYE STESHENI YA SHINE.

Kikundi chetu kingependa kupendekeza kuanzisha kipindi cha Kiswahili kwenye stesheni ya chuo, Shine FM. Hii ni kwa sababu ya kuwa na vipindi adimu kwenye stesheni na tungependa kuongezea ladha tofauti na vipindi vingine humo. Kipindi chetu kitaitwa SOMAFURAJU maelezeo zaidi yako kwenye pendekezo letu.

Tungeomba kupewa siku moja ya wiki kupeleka kipindi chetu hewani. Kikundi chetu kinahusika na Christine Kasiva , Mashirima Kapombe na Portia Opondo.



Wako waaminifu



Christine Kasiva Mashirima Kapombe Portia Opondo

No comments:

Post a Comment